Rais wa Tanzania amteua waziri mwanamke wa kwanza wa ulinzi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2021

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alimteua alimuapisha Stergomena Lawrence Tax awe waziri mpya wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa wa nchi hiyo, na jana alimwapisha. .

Usiku wa Jumapili iliyopita, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilitoa taarifa moja ikisema, Bi. Stergomena Lawrence Tax alichukua nafasi ya hayati Elias Kwandikwa, ambaye alifariki dunia mwanzoni mwa Agosti, mwaka jana.

Bi. Tax ni waziri mwanamke wa kwanza wa ulinzi tangu kupata uhuru kwa nchi hiyo. Na pia alikuwa katibu mtengaji wa kwanza na wa kipekee wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), ambayo ni jumuiya kati ya serikali iliyoanzishwa mwaka 1992 na inalenga kuhimiza ushirikiano na umoja wa nchi wanachama 16 wake katika siasa, uchumi wa kijamii na usalama.

Amemaliza muda wake wa katibu mtendaji wa SADC mwezi 31, Agosti.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

亚洲熟妇专区图