China yapanga kufupisha orodha hasi ya mambo yote yasiyowezekana

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2021

(Picha inatoka tovuti ya ChinaDaily.)

Maofisa na wataalam wa China walisema, mwaka huu China itaendelea kufupisha orodha hasi ya uwekezaji wa vitega uchumi vyote visivyowezekana kuingia nchini, ili kutoa fursa nyingi zaidi kwa wawekezaji wa dunia nzima washiriki kwenye maendeleo yenye sifa bora. Orodha hiyo itatangazwa kabla ya mwishoni mwa mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

亚洲熟妇专区图