China yafanya mazoezi ya kijeshi ya kulinda amani ya kimataifa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2021
China yafanya mazoezi ya kijeshi ya kulinda amani ya kimataifa
(Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Tarehe 7, Septemba, mwaka 2021, walinda amani walishiriki kwenye mazoezi ya kijeshi ya kulinda amani ya kimataifa kwenye kituo cha kufanya mazoezi cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) kilichoko mkoa wa Henan, katikati ya China. Tarehe 6, Septemba, China ilianza kufanya mazoezi ya kulinda amani ya kimataifa yanayoitwa "Mustakabali wa pamoja-2021".

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

亚洲熟妇专区图