Mavuno makubwa ya mazao ya mayungiyungi husaidia wakulima kuongeza kipato chao

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 16, 2021
Mavuno makubwa ya mazao ya mayungiyungi husaidia wakulima kuongeza kipato chao
Wakati wa mavuno ya mazao ya mayungiyungi umewadia, wakulima wanashughulikia kuvuna mazao ya mayungiyungi katika wilaya ya Guangshan, mkoani Henan.

Wakati huo ni majira ya mavuno ya mazao ya mayungiyungi ya kusini mwa Henan, siku hizi, wakulima wa shirika la Xinsheng wanashughulikia kuvuna mazao katika wilaya ya Guangshan, mji wa Xinyang, mkoani Henan. Majira ya mchipuko wa mwaka huu, shirika hilo liliingiza aina yenye ubora wa juu ya mzizi wa yungiyungi wa “lulu” wakapanda, hivi sasa limepata mavuno makubwa. Kwa kupitia kuhesabu gharama ya matumizi, mapato ya kila hekta yanaweza kufikia zaidi ya Yuan elfu 5. Shirika hilo linafuata mfumo wa kulima na kuendesha kwa “kituo+shirika+wakulima”, likisaidia wanakijiji kupanua njia ya kuongeza kipato.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha

亚洲熟妇专区图