Kuonja vitoweo vitamu vya Xinjiang kwenye Soko la Usiku la Hotan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 17, 2021



(picha zinatoka:Tovuti ya Gazeti la Umma)

Mkoa wa Xinjiang ni sehemu nzuri kwa wanaopenda chakula kama mimi, unapofika hapa unaweza kupata vitoweo vingi vya aina mbalimbali vya kienyeji, na vitafunwa vya usiku wa manane vinaweza kukufanya utokwe udenda. Soko la usiku la Hotan ni sehemu nzuri kabisa kwa kuonja vyakula vyote unavyotaka kula mkoani Xinjiang. Kwa sababu hapa kuna vibanda vingi tofauti, ambapo kuna machaguo mengi ya vitoweo, hata sijui nianzie wapi. Angalia hii, niko tayari kuanza kula! Na sio chakula tu, hata hali ya mazingira yenye uchangamfu lakini isiyo na pilika, inawafanya watu wenye mahitaji mengi ya mazingira ya chakula wakae mezani hadi usiku wa manane.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha

亚洲熟妇专区图