Anne akiwa mkoani Xinjiang: Akijiburudisha kwa manunuzi kwenye soko kubwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2021


(picha zinatoka:Tovuti ya Gazeti la Umma)

Soko kubwa la kimataifa mkoani Xinjiang ni moja ya masoko makubwa zaidi duniani, lenye mchanganyiko wa utamaduni wa Kiislamu, usanifu wa ujenzi, mtindo wa biashara wa kikabila, utalii na burudani. Soko hilo pia ni alama maarufu kabisa mjini Urumqi, mji mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur ulioko kaskazini magharibi mwa China. Soko hili ni sehemu nzuri kabisa ya kuangalia na kununua bidhaa za kienyeji. Kuna bidhaa zilizoagizwa kutoka nchi jirani za Russia na Mongolia.

 

 

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

亚洲熟妇专区图